Pages

Sunday, December 24, 2017

COASTAL UNION YAIFUATA SIMBA, YATOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO NA KIKOSI CHA JULIO


Kikosi cha Dodoma FC kimeshinda kwa bao 1-0 na kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho.

Ushindi wa Dodoma FC ugenini dhidi ya wenyeji Coastal Union, unaiondoa timu hiyo ya Tanga katika michuano hiyo.

Pamoja na kusema wanawaheshimu wapinzani wao, Kocha Mkuu wa Polisi FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amewapongeza wachezaji wake kwa kazi nzuri.

No comments:

Post a Comment