Mwenyekiti
CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameongozana na Waziri Mkuu Mstaafu na
Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa kumjulia hali Mzee Kingunge
Ngumbare Mwiru aliyelazwa katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili
anapopatiwa matibabu.
Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake.
No comments:
Post a Comment