Pages

Tuesday, December 26, 2017

PICHA ZA CHIRWA AKIENDELEZA KILIMO CHA MAHINDI KWAO ZAMBIA


Picha za mshambuliaji Obrey Chirwa kujikita katika kilimo zimezua mjadala mkubwa.




Chirwa ambaye yuko katika mgomo akitaka kumaliziwa fedha zake za usajili anaonekana akiendelea na kilimo ikiwa ni siku chache kuiambia Yanga immalizie fedha zake za usajili ndiyo arejee nchini na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.


Hata hivyo Yanga inaonekana kutokuwa na uwezo wa kulipa fungu hilo kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment