Msanii wa muziki ambaye pia ni producer wa High Table Sound, Barnaba
Classic, ameweka wazi kuwa ukimya wake utaanzia kwenye mitandao ya
kijamii ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na kujipanga namna ya kuuanza kwa
kishindo mwaka 2018.
“Nikiwa najitoa kwenye mitandao ya kijamii kidogo, ningependa kuwatakia mashabiki, marafiki na familia yangu Heri ya Christmas na Mwaka Mpya”, amefunguka Barnaba kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Pamoja na kujitoa kwake nyota huyo anayetemba na ngoma yake ya Mapenzi Jeneza ameongeza kuwa anajiweka vizuri kuanzia mwonekano mpaka sound ya hit zake zijazo.
“Ninapumzika kidogo ili kuweka mipango yangu vizuri kwaajili ya mwaka 2018. Nitawaletea Barnaba mpya mwenye kila jipya kimuziki na hata Sound” ameongeza.

No comments:
Post a Comment